19 December 2013

NEWS UPDATES:ABIRIA WOTE WA KWENYE KIVUKO WAMEOKOLEWA



Kivuko kikubbwa cha Mv Magogoni kimepoteza mwelekeo wake, kwa kawaida huwa kinatokea kivukoni na kuelekea kigamboni... lakini  leo kimepoteza

mwelekeo nakuelekea njia ya Meli kubwa, abiria wote wamekolewa ila bado magari na mizigo.
chanzo- EATV

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname