21 December 2013

HEMEDY NA MASTAA WENGINE WA ZAMBIA MARA BAADA YA KUMALIZA FILAMU YA KUMUENZI MAREHEMU KANUMBA..!!

IMG-20131219-WA0009

Msanii wa filamu Hemedy Suleiman aka PHD amerejea Dar es Saalam hapo jana toka Zambia alikoalikwa kutengeneza filamu iitwayo ‘Tangled Mess’.
Hemed akiwa katika pozi na wenzake.

Hemedy akiwa katika pozi na wenzake
Pamoja na Hemedy, filamu hiyo ya kumuenzi Kanumba imehusisha wasanii mbalimbali wa Zambia akiwemo Cassie Kabwita, mshiriki wa BBA 8, Sulu Banda,mwanamuziki mkongwe wa Zambia Moureen Lilanda na Dj mkongwe wa Zambia DJ Yahya Kiba.
Hemed akiwa Airport hapo jana akijerea Dar.

Hemedy akiwa Airport hapo jana akijerea Dar
IMG-20131219-WA0007

IMG-20131219-WA0008

IMG-20131219-WA0009

IMG-20131219-WA0012

IMG-20131219-WA0017

IMG-20131219-WA0019

IMG-20131219-WA0020

IMG-20131219-WA0021

IMG-20131219-WA0022

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname