Mabeste Venance kama anavyojiita kwenye facebook, amewapa taarifa marafiki na mashabiki wake juu ya kitu ambacho kitakuwa muelekeo wake baada ya kuacha kufanya kazi na B Hits music group.
Kama profile yake inavyosema kwamba yeye mwenyewe ndiye managing director wa Dole Entertainement na muziki wake utasimamiwa na kampuni hii.
Mabeste ameiambia tovuti yetu kwamba ameona ni muda sahihi kuanzisha kampuni ambayo itasimamia muziki wake japokuwa hapohapo pia itaweza kusimamia wasanii wengine.
Nice move Mabeste and good luck na Dole Entertainment.
No comments:
Post a Comment