Baada ya kuwepo kwa rumors za hapa na pale kati ya diva wa
Nollywood ‘Tonto Dinkeh’ kutoka kimapenzi na The Koko Master D’banj
hatimaye ameamua kuzima midomo ya watu baada ya kuamua kutokelezea
hadharani na mchumba wake mpya aliyefahamika kwa jina la Michaael
Awolaja lakini watu wamezoea kumuita Malivelihood kutokana na mkwanja na
utajiri mkubwa aliokuwa nao sambamba na magari ya kifahari pamoja na
mansion(Majumba) ya gharama anayomiliki kijana huyo ivyo kumfanya Tonto
ajione miongoni mwa wanawake wenye bahati kwa kuwa katika mikono ya
bilionea huyo, mtazame mwenyewe jamaa huyo
No comments:
Post a Comment