Alikuwa Mwanaume na Sasa Amejibadilisha na Kuwa Mwanamke.
Huyu ni modo na mwanamuziki toka nchini Nigeria ambaye pia ni Miss saHHara, alizaliwa akiwa mwanaume kamili.
Jana
kupitia makala moja ikiwa ni katika maadhimisho yao alielezea kwa vile
alivyonyanyasika kwa kufungwa na hata kufikia hatua ya kutishiwa kuuwa
ila kwa sasa anafurahi kwa kujiona yupo huru.
Dunia yetu ndio hii...!
No comments:
Post a Comment