Mbunge wa Singida Mjini, Mohammed Dewji leo amejikuta katika wakati mgumu kutokana na foleni kali ya magari.
Hata
hivyo akili yake ilichemka haraka na kuamua kusahau kuwa alitajwa
kwenye orodha ya Forbes 2013 ya watu matajiri zaidi Afrika, kukodi piki
piki aka boda boda.
“The
traffic in Dar is crazy,I was so fed up sitting in the car, I had to
rent a(Boda Boda) 2 make it 4 a meeting, I guess I need a chopper,”
alitweet.
Huenda
wazo la kununua chopper akalifikiria kwa nafasi kubwa zaidi ili
kuepukana na foleni kali wakati mwingine na hivyo kushindwa kuhudhuria
mikutano ya maana.
No comments:
Post a Comment