15 November 2013

RAY BAADA YA MAINDA KUCHOROPOA KIJACHO AAMUA KUA SHAROBARO


rayray
Muonekano huu unaenda kuuona wa muigizaji na director wa bongomovie “Vicent Kigosi”unahusisha kubadilisha rangi ya nywere zake, tatoo kubwa kwenye mikono yote miwili na mavazi kama msanii wa bongoflava.
Yeye mwenyewe kwenye picha moja wapo aliandika caption ya “Je nageukia bongoflava au kuna nini kinakuja?”. Jinsi inavyoonekana ni moja ya maandalizi ya movie mpya kutoka RJ Company.
r1
r2
r3
r4
r5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname