November 13 2013 Osterbay Dar es salaam ilifanyika party ya
birthday ya Mubenga ambae ni meneja wa mwimbaji Ommy Dimpoz ambae baada
ya kukata keki, Ommy ambae ni msanii wa pili Tanzania kulipwa pesa
nyingi kwenye show (Milioni 8) kati ya wote waliowahi kutangaza bei
zao,
alichukua mic na kutangaza kuhusu zawadi ya kiwanja alichokinunua
kwa ajili ya Mubenga.
Miongoni mwa mastaa waliohudhuria hii party ni pamoja na B12 na Dj
Zero wa XXL 88.5 Dar es salaam, Vanessa Mdee wa 102.5 Choice FM, Salama
Jabir wa Mkasi ya EATV, Ay, Lamar, waigizaji Jackline Wolper na Kajala
kama picha zinavyoonyesha hapa chini.
Credit millardayo
No comments:
Post a Comment