08 November 2013

NIMECHOKA KUTEMBEA NA VIJANA WANADHARAU SANA, SASA NAHITAJI MZEE WA KUNITULIZA...!!


Unajua vijana wengi wa sikuhizi wanadharau sana haswa pale unapomfuata na kumueleza hisia zako wanadhani labda ni wao tu ndio wana haki ya kusema nakupenda na mwishowe kukuchukulia malaya na huna thamani yoyote, ila watu wazima na maanisha walio kula chumvi kidogo wanajua nini maana ya kupendwa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname