09 November 2013

MTOTO ANYOFOLEWA JICHO NA LINGINE LAANZA KULEGEA

Mtoto Khalidi Juma mwenye umri wa miaka minne, mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam, yuko katika mateso makali baada ya jicho lake moja kutolewa katika harakati za kumnusuru na ugonjwa wa Kansa, huku lingine nalo likilegea.INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname