09 November 2013

MITUSI MTANDAONI YAMPA UCHIZI SHILOLE

MSANII Zuwena Mohammed 'Shilole' ameonekana kupata uchizi kufuatia matusi mazito aliyoporomoshewa mtandaoni baada ya kuweka picha ya baba wa Wema Sepetu na kuandika R.I.P baada ya kutundika picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Instagram akitarajia kuungwa mkono na wadau, wengi walionekana kukerwa na kitendo hicho huku wakimuita mnafiki mkubwa pamoja na maneno mengine makali.
Zuwena Mohammed 'Shilole'.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Shilole alisema amesikitishwa sana na kutukanwa na kuonesha kuwa amepata uchizi na kudai kuwa atamshitaki Wema kwani ndiye anayeweza kuwazuia wapambe wake waache kumshambulia.

Wema akizungumzia ishu hiyo alisema, anamshangaa Shilole kwani wanaomtukana wala hawajui na kama ana mpango wa kumshitaki atapoteza

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname