Wema Sepetu
Kupitia
kipindi chake cha ‘In My Shoes’ cha jana, Wema Sepetu alieleza jinsi
alivyojisikia baada ya baadhi ya waigizaji wenzie wa Bongo Movie kugoma
kuhudhuria msiba wa baba yake, Balozi Isaac Abraham Sepetu, mwishoni
mwa mwezi uliopita kwa madai kuwa yeye hakuwa akifanya hivyo kwenye
misiba mingine.
“Imeshatokea,
wameacha kuja kwenye msiba, ni wao,” alisema Wema. Sio Bongo movie
nzima, ni baadhi tu ya watu ambao wanauelewa na upeo mdogo ambao
waliamua kutokuja. Lakini niliona Bongo movie wengi, walikuwepo
marafiki zangu wengi, akina Batulli, akina Esha, Wolper alikuja, Lulu, JB alikuja, Jokate alikuja, Adam Kuambiana alikuja. Ambaye napenda nimpe my special thanks and appreciation, ambaye alijitolea from the beginning wa msiba mpaka to the end ni Dokta Cheni kwakweli. Dr Cheni, I thank na ntazidi kumshukuru,” alisema.

Katika
kipindi hicho pia, Wema alisema yeye na ndugu zake walijua kuwa baba
yako ni muumini wa dhehebu la Roman Catholic siku chache kabla ya
kufariki dunia.
Balozi
Issac Abraham Sepetu (71), alizikwa kikristo katika kijiji cha
Mbuzini,mkoa wa Kusini Unguja October 30 ambapo mazishi yake
yalihudhuriwa pia na Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohammed Shein pamoja na
viongozi wengine.
No comments:
Post a Comment