KWELI KAAMUA SASA...Mchina ajitosa kwenye filamu mpya ya Dr Cheni 'Nimekubali Kuolewa'
Muigizaji Dr Cheni baada ya kumtambulisha Steven shabiki wa club ya Yanga kwamba yupo kwenye movie yake mpya ya ‘nimekubali kuolewa’ itayotoka hivi karibuni, sasa hivi Cheni amemtambulisha raia mmoja wa China ambae ameigiza kwenye hii movie.
Itazame hii video hapa Dr Cheni akijibizana na mchina huyo baada ya kumfumania na mke wake gest
No comments:
Post a Comment