11 November 2013

KWA MSANII MKUBWA NA MKONGWE KAMA HUYU KUIMBA YAHAYA REMIX ...NI AIBU NA KUDHIHIRISHA KUWA AMECHOKA KATIKA GEMU


Msanii Hard Mad ameachia wimbo Aliouita ‘Naishi Ghetto’ akiwa amejivika husika ya Yahaya aliyeibwa na Lady Jay Dee. Wimbo huu umetengenezwa na
mdundo ragga ukiwa na Melody ya komando ya Jide na wimbo umetayarishwa na producer wa studio za Over Classic zilizoko Jijini Mwanza .
Ila pia yupo Msanii Mwingine aitwae Chance ndio alikuwa wa Kwanza kuimba Yahaya Remix na iko poa sana.Isikilize hapa Chini na Kuniambia Kati ya Hard Mad na Chance ambae ni Underground nani kamfunika Mwenzake.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname