Akiongea na wanahabari leo mchana
kamanda kova kasema hawawezi kumuita Mhe. Kapuya kasababu haya ni mambo
yake binafsi na hakuna mtu yeyote ambaye amakuja hapa polisi kulalamika
kutendewa vibaya na Mhe. Kapuya.
"hata hivyo kamanda kova kasema kama kuna ushahidi wowote wa kueleweka sio kusingizia mtu vituo vya polisi viko wazi masaa 24"
No comments:
Post a Comment