11 November 2013

HAKUNA UGOMVI TENA KATI YA NEY WA MITEGO NA MADEE.TAZAMA PICHA WAKIWA PAMOJA

Ilisemekana Kama mwaka moja uliopita wasanii Ney Wa Mitego Na Madee walikuwa na beef kubwa
na lilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba manzese na ndio Rais wa Manzese huku Madee akijiita rais na Ney akisema hakuna Rais Manzese.

Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zika sambaa, Kwa sasa hawa jamaa ni mabeste kinoma.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname