27 November 2013

FOLENI ZA DAR ZAMSABABISHA HUYU BILIONEA MBUNGE WA SINGIDA MJINI KUPANDA BODA BODA.

“The traffic in Dar is crazy,I was so fed up sitting in the car, I had to rent a(Boda Boda) 2 make it 4 a meeting, I guess I need a chopper,” alitweet.
Huenda wazo la kununua chopper akalifikiria kwa nafasi kubwa zaidi ili kuepukana na foleni kali wakati mwingine na hivyo kushindwa kuhudhuria mikutano ya maana.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname