13 November 2013

ANGALIA PICHA ZA AJALI YA KUTISHA,DEREVA APOTEZA MGUU

Dereva wa pikipiki ya abiria maarufu kama bodaboda jina halijafahamika mpaka sasa (kwani hawezi kuongea) amepata ajali mbaya na kuvunjika kabisa mguu wake wa kulia mara baada ya kugongwa na roli la mchanga katika eneo la daraja la Mkolani wilayani Nyamagana nje kidogo ya jiji la Mwanza.<<PICHA ZINATISHA BOFYA HAPA KUZIONA >>

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname