13 November 2013

ALIYEMUUWA DR SENGONDO MVUNGI AKAMATWA DARA


kova1
Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina wa Jeshi la Polisi (ACP) Suleiman Kova.
.Mtuhumiwa huyo ni  wa kumi kukamatwa kuhusiana na tukio hilo
Siku moja baada ya nguli ya sheria za katiba nchini, Dakta Sengodo Mvungi kuaga dunia nchini Afrika Kusini, Jeshi la Polis Kanda Maalum Ds, linamshikilia mtuhumiwa mmoja John Ikondia Mayunga (56) kwa kosa la kushiriki kikamilifu kwenye mauaji ya mwanasheria huyo na mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Suleiman Kova amesema mtuhumiwa huyo ni mkazi wa kiwalani walipata taarifa kwa raia wema kwamba alishiriki kikamilifu kwenye tukio hilo lilosababisha kifo cha Dakta Sengodo Elibariki Mvungi.INAENDELEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname