Dada huyo baada tu ya kuchoma sindano hiyo alikaa mwezi mmoja nakuanza kupata maumivi makali kwenye miguu yote miwili na mikono alifanyiwa uchunguzi na kubainika kuwa sindayo aliyochoma haikuwa sahihi na matokeo yake ni kusababisha sumu mwilini, wataalamu waliongezea kuwa sindano hizo huchomwa kulingana na Mwili wa mtu pia aina na uwezo wa chembe chembe zake za damu. Inasemakana aliyechoma hakuangalia ni aina gani ya sindando ambayo ingeweza kuendana na mwili wa dada huyo. Hivyo kumpelekea dada huyo kutopata nafuu nabadae wataalamu kuamua kumkata Mikono yake na miguu. Dada huyo akilezea vyombo vya habari kuwa " nitajutia maisha yangu yote kwa jambo nililo fanya". INASIKITISHA: WAKIDADA HILI NI FUNZO KWENU..!!
26 November 2013
AKATWA MIKONO NA MIGUU BAADA YA KUCHOMA SINDANO YA KUONGEZA MAKALIO.STORY NA PICHA ZIKO HAPA.INAUMA
Dada huyo baada tu ya kuchoma sindano hiyo alikaa mwezi mmoja nakuanza kupata maumivi makali kwenye miguu yote miwili na mikono alifanyiwa uchunguzi na kubainika kuwa sindayo aliyochoma haikuwa sahihi na matokeo yake ni kusababisha sumu mwilini, wataalamu waliongezea kuwa sindano hizo huchomwa kulingana na Mwili wa mtu pia aina na uwezo wa chembe chembe zake za damu. Inasemakana aliyechoma hakuangalia ni aina gani ya sindando ambayo ingeweza kuendana na mwili wa dada huyo. Hivyo kumpelekea dada huyo kutopata nafuu nabadae wataalamu kuamua kumkata Mikono yake na miguu. Dada huyo akilezea vyombo vya habari kuwa " nitajutia maisha yangu yote kwa jambo nililo fanya". INASIKITISHA: WAKIDADA HILI NI FUNZO KWENU..!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment