HII KALI KWA DIAMOND PLATNUMZ!!! AAMUA KUJIITA 'DOMO' INSTAGRAM...CHEKI HAPA
Diamond Platnumz aka Prezident wa WCB
ametoa kali na mpya kwa kuamua kujiita 'DoMo' kupitia ukurasa wake wa
Instagram kama unavyo ona hapo chini. Yawezekana amefikia hatua hiyo
baada ya watu wengi kumkashifu mara nyingi sababu ya mdomo wake.
Kwangu mimi sioni tatizo maana ndivyo
alivyo umbwa na je alikuwa anauliza wakuandika hivyo kweli? Au ndo
kutupa cha kuongela? All in all he rocks big time being one of the most
successful artists in East Africa pamoja na 'DoMo'
No comments:
Post a Comment