Mdau wetu Jackline Rutatora akifanya usafi katika makaburi ya kola mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya Shuguli alizoamua kufanya leo ikiwa ni adhimisho la kusherekea siku yake ya kuzaliwa.Mdau huyo leo Amesherekea Miaka 27 ya Kuzaliwa.Pamoja na kufanya usafi katika makaburi ya kola pia Ametoa Msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima cha amani cha mjini morogoro pamoja na kusherekea nao kwa pamoja kwa kula keki na kunywa.
Ameamua kujitoa kwa kuwakumbuka wafu.
Hapa anakata keki kula pamoja na watoto yatima wa kituo cha Amani cha mjini Morogoro.
Picha ya Pamoja katika kituo cha kulea watoto yatima mdau wetu pamoja na watoto wa kituo hicho.Pia mama Mzazi wa Jackline Rutatora Mama Imaculata Rutatora Aliyevaa Miwani
No comments:
Post a Comment