29 October 2013

VIDEO: WEMA SEPETU AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA AKIELEZEA JINSI BABA YAKE ALIVYOTESEKA MPAKA MAUTI ILIPOMCHUKUA..!!



Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu akielezea kuhusu msiba wa baba yake mzazi Balozi Abraham Isaac Sepetu alipoongea na GLOBAL TV. Balozi Sepetu alifariki asubuhi ya Jumapili Oktoba 27, 2013 katika hospitali ya TMJ jijini Dar na mwili wake unaagwa leo nyumbani kwake Sinza-Mori jijini Dar es Salaam tayari kwa mazishi yatakayofanyika kesho Visiwani Zanzibar.

angalia video hapo chini

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname