Usiku
wa jana shangwe za mara ya pili zilitawala katika viwanja vya Leaders
Club jijini Dar es Salaam ambapo show kubwa ya Serengeti Fiesta
iliendelea kwa mara pili baada ya hapo juzi kutokea hitilafu ya umeme na
kusababisha show ishindwe kuendelea.
Hapo jana tena show ya Fiesta ilianza kwa kuwapandisha Serengeti Super Nyota 2013 ambapo walionyesha uwezo wao kwa mashabiki na baada ya hapo shangwe ziliendela kutoka wa wasanii wengine. J.Martins akiimba katika Fiesta Dar es salaam. J.MartinS akiwa na stedi show wake. Kala Jeremiah akifanya show fiesta Dar.

Madee akifanya yake fiesta Dar
Msanii Diamond,Nay wa Mitego na Ben Pol wakisalimiana.
Msanii wa asili nchini, Mrisho Mpoto akiwa amesimama na marafiki zake wa Kenya.
Mashabiki namba moja wa Fid Q wakionyesha kitambaa chenye ujumbe kwake MwanaFA Nay akimchana Diamond mtoto mchele mchele
Noma sanaa. Temba akifanya yake. TID akifanya yake katika stage ya fiesta Dar.
Chege akiimba serengeti firesta Dar. Chid Benz akiwa katika show ya fiesta Dar. Davido akifanya yake Dar es salaam fiesta Diamond na Davido wakifanya show Diamond na Nay wakiteta jambo
From:Bongo5

No comments:
Post a Comment