Mama ajifungua Mtoto wa maajabu leo, Mtoto kazaliwa akiwa amekomaa kana Nazi, Mtoto mwenyewe aliyezaliwa ni mlevi halafu anapenda kupiga show za joh(Videmu),Mtoto Anakula huyu balaa, Cha kushangaza mtoto huyu ukimzengua na yeye anakuzengua mbayaaaa>>> Ila cyo ishu hembu tumtakie birthday njema....
No comments:
Post a Comment