DUNIA INA MAMBO: BINTI AISHI BAHARINI KAMA MKE WA JINI KWA MIAKA 14,AKATWA KIDOLE KAMA ALAMA...!USHUHUDA HUU HAPA
Aliyekuwa
Fr*ee*ma*son kwa miaka 14 afunguliwa katika mkutano wa Ufufuo na Uzima
unaoendelea Moshi; alikatwa kidole akiwa mdogo kama udhihirisho wa alama yao (de*vil hor*ns).
Alieleza
mwenyewe mbele ya waliokuwepo mkutanoni maelfu ya watu wa mkoa wa
Kilimanjaro na vitongoji vyake wanaohudhuria mkutano huo katika viwanja
vya mashujaa unaoongozwa na mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la
Ufufuo na Uzima lenye makao makuu yake Kawe jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment