10 October 2013

SINTAH AFUNGUKA KUHUSU KUVUJA KWA PICHA ZA DIAMOND NA WEMA SEPETU JANA...


khaaaa kweli
mpambe ana nguvu


mmmmh mmmmh
mmetumwa??


kwakweli mimi nimechoshwa na haya mambo wajameni najionea air air tuu, hivi huko Instagram kuna pepo gani?? mwenzenu akiweka tu post yake wanaadam mnakuwa na joto hasira utafikiri mmelipwa vile daah  wabongo kwa umbea na drama salute, sasa mnachogombana nyie wenyewe kwa wenyewe ni nini haswa??
wenzenu wamepumzika na wanafanya yao nyie pumzi zinawatoka sasa mkiumwa pressure itakuwaje yarabi na pilipili sio yenu, hebu acheni ushambenga fanyeni kazi kutwa kucha masaa yote mpo insta ili mgombane 

muwaache wenzenu  wapumzike.

Posted by CEO Sintah (Unstoppable)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname