10 October 2013

NEWZZZ.....PENNY MAHUTUTI AKIMBIZWA HOSPITALI NI BAADA YA KUONA PICHA ZA DIAMOND NA WEMA SEPETU


clip_image001Story zilizopo ni juu ya msanii wa bongo Fleva Daimond anavyo endelea kuwachanganya wasichana wa kibongo na hii ni mpya kabisa  baada ya Penny kuzidiwa pale alipoona picha muda mfupi uliopita kwenye mitandao ya kijamii, Kuwa Diamond na Wema wako wote kwa mara nyingine tena  apo ndipo ikampelekea  Dvj Penny
kupoteza fahamu na kukimbizwa Hospitali.
Sorce: Gongamx

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname