30 October 2013

NEEMA ZAZIDI KUMWENDEA DIAMOND PLATNUMZ APATA SHAVU LA KURECORD NA RAPPER M.I KUTOKA NIGERIA............!!!!



Rapper wa Nigeria na CEO wa Label ya Chocolate City, M.I ataingia studio kurecord wimbo atakao mshirikisha Diamond Platnumz


AKIONGEANA GAZETI LA THE STAR LA KENYA M.I alimsifia Diamond kwa Kudai kuwa Hit Maker Huyo wa my No 1 anasauti ya pekee
"Well, nilivutiwa sana kufanya kazi nae nafikiri ana sauti ya kipekee na ya kuvutia. Katika nyimbo zote alizozichagua nadhani ataenda kuzipa uhai mwingine," alisema Rapper huyo


Wawili hao walikutana wakirecord kipind cha Coke Studio Africa Mjini Nairobi . Wiki iliyopita Diamond Platnumz Alimshirikisha Star mwingine wa Nigeria DAVIDO kwenye Remix ya Wimbo my No 1

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname