MASKINI MWANAJESHI MWINGINE WA TANZANIA AUWAWA NA WANAJESHI WA M23
Tumempoteza ndugu yetu Mtanzania
Mwanajeshi kwa jina RAJABU AHMAD MLIMA katika Vita vya waasi huko Congo
..Alikuwa katika Jitihada za kuwalinda wakazi wa mji wa Kiwanga nchini
humo pamoja na wanajeshi wengine wa Umoja wa Mataifa ....Mungu Ailaze
mahali pema Peponi Roho yake ....Amen
No comments:
Post a Comment