Jamal Malinzi kushoto akiwa na swahiba wake, Rutayuga. Ameshinda Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kura 72 kati ya 126 zilizopigwa. Wallace Karia ameshinda nafasi ya Makamu wa Rais dhidi ya Nassib Ramadhabi na Imani
Madega. Picha za chini na mashabiki wa Malinzi wakishangilia ushindi wa kipenzi chao huyo.
No comments:
Post a Comment