HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MUVI ALIYEWAPA MAKAVU WASANII WANAO JIPODOA MSIBANI..!!
Msanii katika Kiwanda cha Filamu Nchini Tanzania Baturi amefunguka na kutoa ya moyoni kwa Wasanii na Raia wengine ambao kazi yao ni kujiremba na
kujipodoa
Pindi waendapo katika Misaba,kwani amefananisha hali hiyo ni sawa na
Kwenda kuuza Sura wakati wenzako wapo katika Kipindi Kigumu.
No comments:
Post a Comment