31 October 2013

HILI NDO GARI LILILOTOLEWA UPEPO NA MWANAMKE KUPIGWA RISASI BAADA YA KUKAIDI AMRI YA POLISI ARUSHA

 
Gari lenye namba za usajili  T888 BWW aina ya Cresta  mali ya  Vaileth Mathias,likiwa chini ya ulinzi wa polisi,baada ya  Mathias  kupigwa risasi na
polisi jana baada ya kukaidi amri ya kuegesha gari sehemu muhimu ya benki na kumtishia kwa bastola akari aliyekuwa zamu (Picha na Veronica Mheta)

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname