
"Mwenyez mungu alituagiza kuzika na ndiomaana leo
tuko hapa... na sio kwenda sehem uliyokuwa unaforce wewe ili kesho upate
picha za kuzusha instagram...! Upo...? Nakwambia, wewe ulokuwa
unaandika upuuzi kwenye Comment..."
Hayo ni maneno ya Diamond Platnumz kwa wanafiki wa kipenzi chake
na rafiki yake
Wema Sepetu walihudhuria msiba kwa malengo tofauti na ya
kumfariji dada yetu dada aliyepata msiba wa kuondokewa na baba yake
mzazi hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment