09 October 2013

HII NDO FURSA KWA WADADA WENYE VIPAJI TOKA KWA LADY JAY DEE...SOMA UJIPATIE MCHONGO


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg25oCtPfeFIZdr7HjCrcd_8T1e1Iy6KJas2sRlTJfBA0to_RJigaiGRAgWd6I7eWXghlDzXY6-M_k7n69A4wPTQOk33fgoabrgvO9HLWncoLpxou1wED-oHh-DSvYgOPig3Q_vtpCvX8BP/s640/72096_10151343541560025_1411561716_n.jpg
Nyota wa kike wa muziki hapa Tanzania Lady Jaydee pichani, ametoa taarifa hii muhimu kwaajili ya waimbaji wa kike wenye vipaji.
"Tunaanza kuandikisha majina ya waimbaji wa kike tu, kuanzia kesho tar 9/10/13 saa 12:00 jioni. Pale NYUMBANI LOUNGE.

Kama unaamini unaweza kuimba nyimbo za aina zote Kiswahili, Kiingereza, Kichina hata na zingine pia, unakaribishwa.
Usaili huo utakuwa unafanyika siku za Jumatano na Alhamisi tu, kwa muda wa mwezi mzima", Lady Jaydee
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname