29 October 2013

HII NDIYO FILAMU ALIYOCHEZA RAY NA ALIYEKUWA MPENZI WA MR. BLUE (NAJ)


Filamu aliyoigiza Ray na Najma (mwanamuziki) Fan  Filamu mpya ya Vincent Kigosi aka Ray aliyoigiza na aliyewahi kuwa mpenzi wake na Mr. Blue, Najma, ambaye pia ni mwanamuziki, imeingia sokoni, Oct 29. Fan’s Death imetengenezwa na kampuni RJ na inasambazwa na kampuni ya
Steps Entertainment ambapo pia muigizaji Rammy Galis aliyewahi kuigiza filamu ya 'Malaika' atakuwemo. Najma aliwahi kutamba na wimbo wake 'Don't Let Me Go' aliomshirikisha Mr Blue, pia alionekana kwenye video ya 'Tabasamu'.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname