UKWELI: Hii ni aina ya nyati wanaopatikana USA na Canada na wanaitwa “White Buffalo” au “White Bison.”
Ni zeruzeru wa nyati aina ya “bison” wanaopatikana kwenye nchi hizo.
Baadhi ya blogu/link zilizochapisha mchemsho huo pamoja na picha
Na ukweli kuhusu huyu nyati unapatikana hapa katika mtandao wa Wikipedia, na picha zake zinapatikana hapa.
No comments:
Post a Comment