Huyu ndio Jason Collins, proffesional player wa Bascketball ambaye
naye ameamua kuibuka na kuambia ulimwengu kuwa yeye ni shoga baada ya
kuficha siri hiyo kwa miaka mingi.
Mchezaji huyu amejipatia umaarufu mkubwa akiwa anakipiga na timu kama Washington Wizards na Boston Celtics
Jason Collins ameamua kufikia hatua hii kwa kuandika waraka alioupatia kichwa cha habari "I'm a 34-year-old NBA center. I'm black. And I'm gay." Habari ambazo zimewashtua watu wengi lakini kwa upande mwingine, Collins amepewa pongezi na watu kibao kwa hatua yake hii, miongoni mwao akiwepo Aliyekuwa rais wa Marekani, Bill Clinton.

No comments:
Post a Comment