MfanyabiAshara ‘alwatani’ Bongo, mkazi wa jijini Dar, Allain Tajiri
amekumbwa na skendo nzito baada ya kufumaniwa na mwanafunzi wa sekondari
wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumatano ya Aprili 24, mwaka huu
katika chumba namba 107 kwenye gesti iitwayo Jamboz iliyopo Kinondoni
jijini Dar.
No comments:
Post a Comment