04 February 2016

Picha HUYU NDO : . Nyangumi mwenye ‘Futi 40’ avuliwa India.CHEKI ALIVYO MKUBWANyangumi mkubwa anayesadikika kufia majini siku 3 kabla ya kuvuliwa, amepatikana mjini Mumbai nchini India katika ufukwe wa Juhu.
whale2
Nyangumi huyo mwenye urefu wa futi 40, alipatikana tarehe 31 mwezi wa kwanza 2016.
Mnyama huyu inasemekana ndiyo mnyama wa majini kuvuliwa akiwa na kilo nyingi katika nchi hiyo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname