MBWANA SAMATTA AZIDI KUTIKISA,ONA HAPA AKIWA NA WACHEZAJI WA KLABU YAKE MPYA YA ULAYA KTK CHUMBA CHA KUBADILISHIA
MCHEZAJI
MPYA wa klabu ya Genk ya Ubeligiji Mbwana Samatta akiwa na wachezaji
wenzake mara baada ya kuiwezesha timu yake kuibuka a ushindi wa goli
moja bila katika mchezo wa jana.
No comments:
Post a Comment