02 February 2016

BREAKING NEWZZZ.....Diwani wa Kata Kimwani, Jimbo la Muleba Kusini (CUF) auwawa kwa kukatwa mapanga na watu wasio julikana

TANZIA: Diwani wa Kimwani, Kagera, Faustine Muliga (CUF) ameuawa kwa kushambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

RPC Ollomi athibitisha

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname