14 September 2013

HUU NDO UGONJWA MPYA UMEWAINGIA WADADA NA WAMAMA


Katika pitia pitia zangu kuhusu magonjwa ya wasichana na wanawake nimegundua aina mpya ya ugonjwa maarufu kwa wengi Lakini hawajui Ama hawajijui kama wanao ugonjwa ni ugonjwa wa shopping. Chunguza kuanzia wasichana wa shule vyuo mpaka wamama wanao ugonjwa Yaani mtu Ana nguo makabati chumba kizima viatu kibao Lakini bado anataka kuingia dukani anunue nguo mpya! Watalaam wa magonjwa ya akili wameuelezea huu ni ugonjwa mkubwa wa shopping juchunguze una nguo kiasi gani na kwanini bado unataka kununua nyingine?? Tujadili..

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname