11 February 2016

BREAKING NEWZZZ.....AJALI MBAYA YA BASI MDA HUU Basi la Simba Mtoto limegongana na Lori la mizigo huko Korogwe - TangaBasi la Simba Mtoto limegongana na Lori la mizigo huko Korogwe - Tanga na kusababisha vifo na majeruhi kadhaa(idadi kamili bado).
Kamanda wa Polisi Mkoani humo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname