11 February 2016

HUYU NDO Mtunzi wa tuni ya wimbo wa Taifa la Tanzania (pia Afrika Kusini & Zambia) mwaka 1897Mtunzi wa tuni ya wimbo wa Taifa la Tanzania (pia Afrika Kusini & Zambia) mwaka 1897, Enoch Mankayi Sontonga. Enoch alikuwa raia wa Afrika Kusini toka jamii ya Xhosa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname