17 January 2016

WATAKA,MWINYI,MKAPA NA JK WAPUNGUZIWE MISHAHARA

Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA), limesifu kasi ya Rais John Magufuli ya kutumbua majipu, lakini limemwomba ageukie mishahara ya marais wastaafu na kuipunguza hadi nusu ikiwa ni mwendelezo wa hatua zake za kubana matumizi ya fedha za umma. 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname