17 January 2016

MGONJWA WA MAGUFULI AFUNGWA MUHIMBILI!...,NI BAADA YA KUTOKEA HILI.


RAIS Magufuli akizungumza na Mgonjwa Chacha Makenge 
Chacha Makenge (39), ambaye ni maarufu kwa jina la ‘mgonjwa wa Magufuli’ ameondolewa wodini kwenye Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), jijini Dar es Salaam, na kupelekwa wodi ya magonjwa ya akili kwa nguvu, kwa kutumia amri ya mahakama.  

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname