Katika Kikao cha Wanamuziki kinachoendelea leo jijini Dar, wasanii
wametoa mapendekezo makuu matatu : (1) kutokuwa na imani na CMEA (2)
kuvunjwa kwa bodi ya COSOTA kutokana na kutokuwa utaratibu mzuri wa
kudhibiti na kusimamia mirabaha ya kazi zao na (3) Radio stations
ziendelee kupiga nyimbo zao hadi watapotoa tamko.
Hivyo wameomba rais wa shirikisho (Ado Novemba) kupeleka maombi kwa
Waziri mwenye dhamana ‘Mh. Nape Nnauye’ Waziri wa habari, michezo, sanaa
na wasanii.
Cloudsfm.com
No comments:
Post a Comment