NA MWANDISHI WETU, Uwazi
DAR
ES SALAAM: Yule mgonjwa anayeaminika ndiye aliyetoa siri ya kuharibika
kwa mashine za CT Scan na MRI Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa Rais Dk.
John Magufuli na wiki iliyopita kudai amelazwa chini, Chacha Makenge,
amesababisha mapya kuibuka.

No comments:
Post a Comment