Mbali na sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili
zilizowekwa X kuwa bado halijapoa, Muigizaji Wastara Juma, jana usiku
amefunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM)
Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma.
Hongera sana Wastara.
No comments:
Post a Comment